Header Ads Widget

Responsive Advertisement

VIDEO MPYA ALLY KIBA -MBIO



Mwanamuziki 'ALLY  KIBA' ambaye anamiliki label ya music maarufuku kama KING MUSIC amedondosha ngoma inayotrend mitandao mbalimbali kama yutube.Ngoma hiyo inajulikana Kama 'MBIO'
Alikiba ameelezea wimbo wake wa huo kwa kuandika kwenye akaunti ya Instagram“MBIO…..ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman  kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at Intercontinental Hotel, I got inspired to finalise the song na kushoot Music Video in Muscat"

Wimbo huu unatafsiri ya mwanaume alipenda pasipo pendwa.Tazama video uweze kuelewa

Post a Comment

0 Comments