Header Ads Widget

Responsive Advertisement

BARCELONA HALI TETE LIGI YA MABINGWA ULAYA YACHAPWA 3-0 NA BENFICA

 



Timu ya Barcelona imeendelea kugawa pointi katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupokea kipigo cha pili Mfululizo kwa kufunga mabao 3-0 na wenye Benfica katika Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno.

Mabao ya Benfica jana yamefungwa na Darwin Núñez dakika ya tatu na 79  kwa penalti na Rafa Silva dakika ya 69 na kwa kipigo hicho cha pili mfululizo, Barcelona inashika mkia nyuma ya Dinamo Kiev yenye pointi moja.
Bayern Munich wanaongoza sasa kwa pointi zao sita, wakifuatiwa na Benfica yenye pointi nne.

Post a Comment

0 Comments